🎁
Mipango ya SingoMingo
Kila mtumiaji anapata vipengele vingi bila malipo. Alika marafiki kupata zaidi!
🆓
Mpango Bure
Kwa kila mtu bila malipo
BURE
✓ 50 likes kwa siku
✓ 150 ujumbe kwa siku
✓ 2 Crush kwa siku
✓ 3 Undo (Rudi) kwa siku
✓ Gundua watu, match, zungumza
✓ Angalia aliyekupenda (Walionipenda)
⌛ Limits zinarejeshwa kila baada ya masaa 24
❓ Maswali ya Kawaida
Limits zinafanyaje kazi?
Kila siku saa 12 usiku wa Tanzania (midnight) limits zako zinarejeshwa upya. Likes, ujumbe na crush vinaanzia upya kila siku.
Jinsi ya kupata Mwaliko na Mwaliko+?
Nenda kwenye ukurasa wa Alika, nakili kiungo au nambari yako ya alika, shiriki na marafiki wako. Rafiki akijisajili kwa nambari yako — wewe unapata zawadi moja kwa moja!
Mipango inabadilika lini?
Mpango wako unabadilika otomatiki unavyoongeza mialiko. Mialiko 1 = Mwaliko. Mialiko 2+ = Mwaliko+.
🔥
Ongeza Nguvu Zako Leo!
Alika marafiki 2 tu — upate likes, ujumbe na crush bila kikomo kabisa. Bure kabisa!
🎁 Alika Sasa